Who are we?

 

Muvek Development Solutions Ltd. (MUVEK) is a private company specialized in providing consultancy services including program implementation and backstopping mandates in Agriculture, Health, Education and Rural Development in general. read more

 

 

Our focus

 

We provide development consulting services, support rural growth, and improve provision of laboratory services in Tanzania. On above areas, we work in five themes and on crosscutting issues. read more

 

- KukuDeal (Poultry development)

 

- Muvek Laboratories

 

- Development Consulting

We at Muvek define income poverty as “inability to sell enough hence unable to buy enough”

 

THUS WE ARGUE THAT….

 

“Every citizen must be enabled to sell enough skills, talents or products and gain the ability to buy enough needs and wants...”

NEWS AND EVENTS

Kupitia Mradi Wa Kukudeal Unaweza Kujifunza Mambo Mengi Yahusuyo Ufugaji Wa Kuku Wa Kienyeji.

 

MADA: UMUHIMU WA KUZUIA NA KINGA ZA MAGONJWA

Hupunguza athari za kiuchumi zitokanazo na maambukizi

Hulinda afya ya kuku ambao hawajaambukizwa

Hupunguza kuenea kwa maambukizi kutoka kuku wagonjwa kwenda kuku wasio wagonjwa

Huwakinga binadamu wasipate maambukizi kutoka kuku wagonjwa

Huzalisha kuku na bidhaa zenye ubora wa juu ambazo hupata bei nzuri sokoni.

 

Taratibu za kuzuia kuenea kwa magonjwa hutekelezwa kwa lengo la kuzuia uingiaji na usambazaji wa vimelea vya ugonjwa ndani na kati ya vijiji, kaya na mashamba. Taratibu hizi ni pamoja na kuweka karantini ambapo magonjwa na vimelea vya ugonjwa huzuiwa kuingia katika eneo Fulani, au vimelea huharibiwa na kuzuiwa sehemu moja ili visipenye kuingia maeneo mengine. Hivyo basi, taratibu za kuzuia kuenea kwa magonjwa zina vipengele vikuu vitatu: Karantini, Kudhibiti njia za usafirishaji na usafi wa maeneo. Read More

Towards Our 10years Anniversary (2005-2015)

Ten years of Breaking Development Myths